Betri ya solar ya N 20 inatakiwa isukumwe na panel ya watt ngapi?
Mkuu, mimi nina panel 2 za watts 180@ nahitaji kuweka taa za nje kama 6 za solar,hapo ni tafute battery N ngapi? Kwa mtu aliyeko kagera na mwingine mtwara wote wana 180w panel mbili
Read More